# Seruya...Yoabu...Abishai...Asaheli...Abneri Haya ni majina ya wanaume # Asaheli alikuwa mwepesi miguuni kama swala. Hapa Asaheli analinganishwa na swala, mnyama akimbiaye kwa kasi sana. # swala pori Mnyama huyu mdogo mwenye miguu minne, na pembe mbili ndefu kichwani, hukimbia haraka sana. # Akimfuatia bila kugeuka upande mwingine Hapa "bila kugeuka" imeelezwa kwa muundo hasi kusistiza ukaribu alioifuata njia ya Abneri.