sw_tn/2sa/01/08.md

20 lines
592 B
Markdown

# Akaniuliza, 'Wewe ni nani?' Nikamjibu, 'Mimi ni Mwamaleki.'
Nukuu hii ingeweza kutaarifiwa kama kauli tendwa. Mfano "Aliniuliza mimi nilikuwa nani, nami nikamwambia kuwa nilikuwa Mwamaleki"
# Mimi ni Mwamaleki
Hawa ni watu walewale Daudi aliokuwa ametoka kuwashambulia katika 1:1.
# shida kubwa imenipata
Shida ya Sauli inasemwa kama kitu cha kutisha ambachokimemshikilia. Maana nyingine yaweza kuwa "nimeteswa vibaya sana"
# uhai ungalimo ndani yangu
Nahau hii inamaanisha kwamba yu ngali hai au "ningali hai"
# asingeweza kuishi baada ya kuwa ameanguka
"Hata hivyo angekufa tu"