sw_tn/2ki/22/14.md

28 lines
786 B
Markdown

# Hulda
Hili ni jina la mwanamke.
# Shalumu ... Tikva ... Harhasi
Haya ni majina ya wanaume.
# mtunza kabati la nguo
Maana ziwezekanazo 1) mtu anayeangalia nguo ambazo makuhani huvaa katika hekalu au 2) mtu anayeangali nguo za mfalme.
# aliishi Yerusalemu katika mtaa wa pili
Hapa "theluthi ya pili" inarejea kwa sehemu mpya ambayo ilikuwa imejengwa kwa upande wa kaskazini mwa Yerusalemu. Pia, "aliishi Yerusalemu katika sehemu mpya ya Yerusalemu"
# huyo mtu aliyekutuma kwangu
Hapa "huyo mtu" inamrejea mfalme Yosia.
# Nitaleta msiba mahali pake na kwa wenyeji wake
Yahwe anafanya mambo mabaya yatokee imezungumzwa kana kwamba "msiba" ulikuwa kitu ambacho angekileta hiyo sehemu.
# hapa mahali
Hapa inarejea kwenye mji wa Yerusalemu ambao unawakilisha nchi yote ya Yuda.