sw_tn/2ki/22/14.md

786 B

Hulda

Hili ni jina la mwanamke.

Shalumu ... Tikva ... Harhasi

Haya ni majina ya wanaume.

mtunza kabati la nguo

Maana ziwezekanazo 1) mtu anayeangalia nguo ambazo makuhani huvaa katika hekalu au 2) mtu anayeangali nguo za mfalme.

aliishi Yerusalemu katika mtaa wa pili

Hapa "theluthi ya pili" inarejea kwa sehemu mpya ambayo ilikuwa imejengwa kwa upande wa kaskazini mwa Yerusalemu. Pia, "aliishi Yerusalemu katika sehemu mpya ya Yerusalemu"

huyo mtu aliyekutuma kwangu

Hapa "huyo mtu" inamrejea mfalme Yosia.

Nitaleta msiba mahali pake na kwa wenyeji wake

Yahwe anafanya mambo mabaya yatokee imezungumzwa kana kwamba "msiba" ulikuwa kitu ambacho angekileta hiyo sehemu.

hapa mahali

Hapa inarejea kwenye mji wa Yerusalemu ambao unawakilisha nchi yote ya Yuda.