sw_tn/2ki/10/10.md

24 lines
730 B
Markdown

# hakika tafakarini
"elewa" au "kuwa makini usipingika kwamba"
# hakuna sehemu ya neno la Yahwe ... litaanguka kwenye nchi
Hii inazungumzia kila kitu kinachotokea kwamba Yahwe amesema kitatokea kana kwamba kilikuwa kitu ambacho kilikuwa kimekufa na kuanguka katika nchi.
# Yahwe amefanya
Hii inamzungumzika Yahwe kuufanya uzao wa Ahabu kuuawa kana kwamba amewaua yeye. "Yahwe amefanya itokee"
# Hivyo Yehu aliwaua wote ... na makuhani wake
Yehu hakuwaua hawa watu wote mwenyewe, isipokuwa aliwaamuru wauawe. "Hivyo Yehu aliwaamuru wote ... kuuwa"
# wote waliosalia
"wote waliokuwa hai" au "wote waliokuwa wameondoka"
# hakuna hata mmoja wao alisalia
hii inamaanisha kwamba wote wote waliuawa. au "hadi wote walipokufa"