# hakika tafakarini "elewa" au "kuwa makini usipingika kwamba" # hakuna sehemu ya neno la Yahwe ... litaanguka kwenye nchi Hii inazungumzia kila kitu kinachotokea kwamba Yahwe amesema kitatokea kana kwamba kilikuwa kitu ambacho kilikuwa kimekufa na kuanguka katika nchi. # Yahwe amefanya Hii inamzungumzika Yahwe kuufanya uzao wa Ahabu kuuawa kana kwamba amewaua yeye. "Yahwe amefanya itokee" # Hivyo Yehu aliwaua wote ... na makuhani wake Yehu hakuwaua hawa watu wote mwenyewe, isipokuwa aliwaamuru wauawe. "Hivyo Yehu aliwaamuru wote ... kuuwa" # wote waliosalia "wote waliokuwa hai" au "wote waliokuwa wameondoka" # hakuna hata mmoja wao alisalia hii inamaanisha kwamba wote wote waliuawa. au "hadi wote walipokufa"