sw_tn/2ki/10/10.md

730 B

hakika tafakarini

"elewa" au "kuwa makini usipingika kwamba"

hakuna sehemu ya neno la Yahwe ... litaanguka kwenye nchi

Hii inazungumzia kila kitu kinachotokea kwamba Yahwe amesema kitatokea kana kwamba kilikuwa kitu ambacho kilikuwa kimekufa na kuanguka katika nchi.

Yahwe amefanya

Hii inamzungumzika Yahwe kuufanya uzao wa Ahabu kuuawa kana kwamba amewaua yeye. "Yahwe amefanya itokee"

Hivyo Yehu aliwaua wote ... na makuhani wake

Yehu hakuwaua hawa watu wote mwenyewe, isipokuwa aliwaamuru wauawe. "Hivyo Yehu aliwaamuru wote ... kuuwa"

wote waliosalia

"wote waliokuwa hai" au "wote waliokuwa wameondoka"

hakuna hata mmoja wao alisalia

hii inamaanisha kwamba wote wote waliuawa. au "hadi wote walipokufa"