sw_tn/2ki/09/25.md

970 B

Bidkari

Hili ni jina la mwanamume.

Mchukue na mtupie

"Ichukue maiti yake na itupe"

Fikiri kuhusu ambavyo

"Kumbuka"

baada ya Ahabu baba yake

Hii inamaanisha kwamba waliendesha katika gari la farasi nyuma ya gari la farasi la Ahabu. "nyuma ya baba yake gari la farasi la Ahabu"

Yahwe akamuweka huyu nabii dhidi yake

"Yahwe alinena huu unabii huu dhidi ya Ahabu"

damu ya Nabothi na damu ya watot wake

Hapa neno "damu" linarejea kwa "kuua" "mauaji ya Nabothi na mauaji ya watoto wake"

nitakulipa

Hii inamaanisha kwamba atamuadhibu Ahabu kama astahilivyo kwa ajili ya uovu alioufanya. "nitakupatia unachostahili kwa ajili ya uovu ulioufanya"

mchukue na mtupie kwenye hiyo sehemu, hilo shamba

"ichukue maiti ya Yoramu na itupe kwenye shamba lile lile, shamba la Nabothi"

kuleta kupita kile tulichokuwa tumeambiwa kingetokea

"kutimiza unabii ulionenwa kwetu"

tuliambiwa itatokea kwa neno la Yahwe

"kile Yahwe alichosema kingetokea" (UDB)