sw_tn/2ki/09/25.md

40 lines
970 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bidkari
Hili ni jina la mwanamume.
# Mchukue na mtupie
"Ichukue maiti yake na itupe"
# Fikiri kuhusu ambavyo
"Kumbuka"
# baada ya Ahabu baba yake
Hii inamaanisha kwamba waliendesha katika gari la farasi nyuma ya gari la farasi la Ahabu. "nyuma ya baba yake gari la farasi la Ahabu"
# Yahwe akamuweka huyu nabii dhidi yake
"Yahwe alinena huu unabii huu dhidi ya Ahabu"
# damu ya Nabothi na damu ya watot wake
Hapa neno "damu" linarejea kwa "kuua" "mauaji ya Nabothi na mauaji ya watoto wake"
# nitakulipa
Hii inamaanisha kwamba atamuadhibu Ahabu kama astahilivyo kwa ajili ya uovu alioufanya. "nitakupatia unachostahili kwa ajili ya uovu ulioufanya"
# mchukue na mtupie kwenye hiyo sehemu, hilo shamba
"ichukue maiti ya Yoramu na itupe kwenye shamba lile lile, shamba la Nabothi"
# kuleta kupita kile tulichokuwa tumeambiwa kingetokea
"kutimiza unabii ulionenwa kwetu"
# tuliambiwa itatokea kwa neno la Yahwe
"kile Yahwe alichosema kingetokea" (UDB)