sw_tn/2co/12/19.md

454 B

Sasa mnafikiri kwa hayo yote tunajitetea kwenu?

Paulo alifafanua kwamba hajitetei kwao kwa tabia yake. "Msifikiri kwamba kwa hayo wakati huu najitetea mwenyewe kwenu."

Mbele za Mungu,

Paulo anazungumzia juu ya ufahamu wa Mungu kufahamu mambo yote Paulo anafahamu pia kama vile Mungu alikuwa pa kimwili na amechunguza kila kitu alichosema na kufanya Paulo.

kwa ajili ya kuwaimarisha ninyi

"ya kwamba muweza kumjua Mungu na kumtii yeye vizuri"