sw_tn/2co/12/19.md

12 lines
454 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sasa mnafikiri kwa hayo yote tunajitetea kwenu?
Paulo alifafanua kwamba hajitetei kwao kwa tabia yake. "Msifikiri kwamba kwa hayo wakati huu najitetea mwenyewe kwenu."
# Mbele za Mungu,
Paulo anazungumzia juu ya ufahamu wa Mungu kufahamu mambo yote Paulo anafahamu pia kama vile Mungu alikuwa pa kimwili na amechunguza kila kitu alichosema na kufanya Paulo.
# kwa ajili ya kuwaimarisha ninyi
"ya kwamba muweza kumjua Mungu na kumtii yeye vizuri"