# Sasa mnafikiri kwa hayo yote tunajitetea kwenu? Paulo alifafanua kwamba hajitetei kwao kwa tabia yake. "Msifikiri kwamba kwa hayo wakati huu najitetea mwenyewe kwenu." # Mbele za Mungu, Paulo anazungumzia juu ya ufahamu wa Mungu kufahamu mambo yote Paulo anafahamu pia kama vile Mungu alikuwa pa kimwili na amechunguza kila kitu alichosema na kufanya Paulo. # kwa ajili ya kuwaimarisha ninyi "ya kwamba muweza kumjua Mungu na kumtii yeye vizuri"