sw_tn/2co/11/16.md

595 B

nipokeeni mimi kama mpumbavu ili niweze kujisifu kidog

"nipokee mii kama vile ungempokea mpumbavu:niache mimi nizungumze, na kufikiri kujivuna kwangu maneno ya mpumbavu"

Kile ninachosema kuhusu huku kujiamini kwa kujivuna hakuhukumiwi na Bwana

Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: " "Bwana hajifanyi kutoona ninacho kiongelea kuhusu ujasiri wa kujivuna" Bwana hajaniambia kuwa ana thibitisha kwa kile ninachokizungumza huu ujasiri wa kujisifu.

kwa jinsi ya mwili

Katika sentensi hii mbadala wa neno "mwili" una maanisha mtu katika asili yake yha dhambi na maendeleo yake.