# nipokeeni mimi kama mpumbavu ili niweze kujisifu kidog "nipokee mii kama vile ungempokea mpumbavu:niache mimi nizungumze, na kufikiri kujivuna kwangu maneno ya mpumbavu" # Kile ninachosema kuhusu huku kujiamini kwa kujivuna hakuhukumiwi na Bwana Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: " "Bwana hajifanyi kutoona ninacho kiongelea kuhusu ujasiri wa kujivuna" Bwana hajaniambia kuwa ana thibitisha kwa kile ninachokizungumza huu ujasiri wa kujisifu. # kwa jinsi ya mwili Katika sentensi hii mbadala wa neno "mwili" una maanisha mtu katika asili yake yha dhambi na maendeleo yake.