sw_tn/2co/11/16.md

12 lines
595 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# nipokeeni mimi kama mpumbavu ili niweze kujisifu kidog
"nipokee mii kama vile ungempokea mpumbavu:niache mimi nizungumze, na kufikiri kujivuna kwangu maneno ya mpumbavu"
# Kile ninachosema kuhusu huku kujiamini kwa kujivuna hakuhukumiwi na Bwana
Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: " "Bwana hajifanyi kutoona ninacho kiongelea kuhusu ujasiri wa kujivuna" Bwana hajaniambia kuwa ana thibitisha kwa kile ninachokizungumza huu ujasiri wa kujisifu.
# kwa jinsi ya mwili
Katika sentensi hii mbadala wa neno "mwili" una maanisha mtu katika asili yake yha dhambi na maendeleo yake.