sw_tn/2co/11/10.md

20 lines
675 B
Markdown

# Kama kweli ya Kristo ilivyo ndani yangu, huki
Paulo anasisitiza hiki kwa sababu wasomaji wake wanajua kuwa anawaambia kweli ya Kristo, wanaweza kujua kuwa mahali hapa anawaambia ukweli.
# huku kujisifu kwangu hakutanyamazishwa
Sentensi hii yaweza kusemwa hivi: "hakuna hata mmoja atakayeweza kunizuia kujisifu na kukaa kimya. "Paulo "anajivuna" kuwa yuko "huru kuhubiri injili"
# sehemu za Akaya
"mikoa ya Akaya" Neno "sehemu" linazungumzia maeneo ya nchi , na siyo mgawanyo wa kisiasa.
# Kwa nini? Kwa sababu siwapendi?
Paulo anatumia swalimla kujihoji kusisitiza upendo kwa Wakorintho.
# Mungu anafahamu
Kwa kuweka wazi sentensi hii: "Mungu anajua Ninawapenda"