# Kama kweli ya Kristo ilivyo ndani yangu, huki Paulo anasisitiza hiki kwa sababu wasomaji wake wanajua kuwa anawaambia kweli ya Kristo, wanaweza kujua kuwa mahali hapa anawaambia ukweli. # huku kujisifu kwangu hakutanyamazishwa Sentensi hii yaweza kusemwa hivi: "hakuna hata mmoja atakayeweza kunizuia kujisifu na kukaa kimya. "Paulo "anajivuna" kuwa yuko "huru kuhubiri injili" # sehemu za Akaya "mikoa ya Akaya" Neno "sehemu" linazungumzia maeneo ya nchi , na siyo mgawanyo wa kisiasa. # Kwa nini? Kwa sababu siwapendi? Paulo anatumia swalimla kujihoji kusisitiza upendo kwa Wakorintho. # Mungu anafahamu Kwa kuweka wazi sentensi hii: "Mungu anajua Ninawapenda"