sw_tn/2co/11/10.md

675 B

Kama kweli ya Kristo ilivyo ndani yangu, huki

Paulo anasisitiza hiki kwa sababu wasomaji wake wanajua kuwa anawaambia kweli ya Kristo, wanaweza kujua kuwa mahali hapa anawaambia ukweli.

huku kujisifu kwangu hakutanyamazishwa

Sentensi hii yaweza kusemwa hivi: "hakuna hata mmoja atakayeweza kunizuia kujisifu na kukaa kimya. "Paulo "anajivuna" kuwa yuko "huru kuhubiri injili"

sehemu za Akaya

"mikoa ya Akaya" Neno "sehemu" linazungumzia maeneo ya nchi , na siyo mgawanyo wa kisiasa.

Kwa nini? Kwa sababu siwapendi?

Paulo anatumia swalimla kujihoji kusisitiza upendo kwa Wakorintho.

Mungu anafahamu

Kwa kuweka wazi sentensi hii: "Mungu anajua Ninawapenda"