sw_tn/2co/07/11.md

28 lines
724 B
Markdown

# Angalieni
Neno hililinaweka msisitizo kwa kile kitakachozungumzwa baadaye.
# Jinsi gani azma ilikuwa kubwa ndani yenu kuthibitisha kuwa hamkuwa na hatia
Neno " jinsi gani" linaifanya sentensi hii kuwa mshangao.
# uchungu wenu
"hasira yenu"
# kwamba haki inapaswa kutendeka
Yaweza kuelezwa kuwa: "mtu yule anapaswa kubeba uadilifu.
# mkosaji
"yule aliyetenda mabaya"
# ili kwamba udhati wa mioyo yenu kwa ajili yetu ifanywe kujulikana kwenu
Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa kauli tendaji kuwa: kwamba mmekuwa na udhati wa mioyo yenu kwa ajili yetu katika unyoofu.
# mbele ya macho ya Mung
Hii inarejea kwenye uwepo wa Mungu na uthibitisho wa uaminifu wa Paulo umemaanishwa kama Mungu amekua aliwaona wao.