sw_tn/2co/07/11.md

724 B

Angalieni

Neno hililinaweka msisitizo kwa kile kitakachozungumzwa baadaye.

Jinsi gani azma ilikuwa kubwa ndani yenu kuthibitisha kuwa hamkuwa na hatia

Neno " jinsi gani" linaifanya sentensi hii kuwa mshangao.

uchungu wenu

"hasira yenu"

kwamba haki inapaswa kutendeka

Yaweza kuelezwa kuwa: "mtu yule anapaswa kubeba uadilifu.

mkosaji

"yule aliyetenda mabaya"

ili kwamba udhati wa mioyo yenu kwa ajili yetu ifanywe kujulikana kwenu

Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa kauli tendaji kuwa: kwamba mmekuwa na udhati wa mioyo yenu kwa ajili yetu katika unyoofu.

mbele ya macho ya Mung

Hii inarejea kwenye uwepo wa Mungu na uthibitisho wa uaminifu wa Paulo umemaanishwa kama Mungu amekua aliwaona wao.