# Angalieni Neno hililinaweka msisitizo kwa kile kitakachozungumzwa baadaye. # Jinsi gani azma ilikuwa kubwa ndani yenu kuthibitisha kuwa hamkuwa na hatia Neno " jinsi gani" linaifanya sentensi hii kuwa mshangao. # uchungu wenu "hasira yenu" # kwamba haki inapaswa kutendeka Yaweza kuelezwa kuwa: "mtu yule anapaswa kubeba uadilifu. # mkosaji "yule aliyetenda mabaya" # ili kwamba udhati wa mioyo yenu kwa ajili yetu ifanywe kujulikana kwenu Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa kauli tendaji kuwa: kwamba mmekuwa na udhati wa mioyo yenu kwa ajili yetu katika unyoofu. # mbele ya macho ya Mung Hii inarejea kwenye uwepo wa Mungu na uthibitisho wa uaminifu wa Paulo umemaanishwa kama Mungu amekua aliwaona wao.