sw_tn/2co/07/02.md

1.1 KiB

Sentensi Unganishi

Akiwa tayri amewaonya watu wa Korintho kuhusu viongozi wengine ambao walikuwa wakijitahidi kuwavuta Wakorintho wawafuate wao, lakini Paulo anawakumbusha watu jinsi anavyowafikiria.

Fanyeni nafasi kwa ajili yetu

Inarejea kile ambacho Paulo alikisema awalikatika 6:11 kuhusu wao kufungua mioyo yao kwa yeye.

Siyo kuwahukumu ninyi kuwa nasema hili

"sisema hili kuwashitaki ninyi kwa kufanya vibaya." Neno "hili" linarejea kwa kila ambacho Paulo alikuwa amesema kuhusu ambavyo hakumkosea mtu yeyote.

mmo mioyoni mwetu

Paulo anazungumza kwa ajili yake na pendo kuu la washirika wake kwa ajili ya wakorintho kama vile wamefanyika ndani ya kioyo yao.

kwetu sisi kufa pamoja na kuishi pamoja

Hii ina maanisha kwamba Paulo na washirika wake wataendelea kuwapenda Wakorintho bila kujali kinachotokea.

kwetu sisi kufa

"sisi" inajumuisha waamini wa Korintho"

Nimejawa na faraja

Yaweza kuelezwa katika jinsi ya utendaji: : "Mnanijaza faraja"

Ninajawa na furaha

Pulo anazumzia furaha kama vile kimiminika ambacho humjaza yeye mpaka anajawa.

hata katikati ya mateso yetu yote.

"licha ya taabu zetu"