sw_tn/2co/07/02.md

36 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Akiwa tayri amewaonya watu wa Korintho kuhusu viongozi wengine ambao walikuwa wakijitahidi kuwavuta Wakorintho wawafuate wao, lakini Paulo anawakumbusha watu jinsi anavyowafikiria.
# Fanyeni nafasi kwa ajili yetu
Inarejea kile ambacho Paulo alikisema awalikatika 6:11 kuhusu wao kufungua mioyo yao kwa yeye.
# Siyo kuwahukumu ninyi kuwa nasema hili
"sisema hili kuwashitaki ninyi kwa kufanya vibaya." Neno "hili" linarejea kwa kila ambacho Paulo alikuwa amesema kuhusu ambavyo hakumkosea mtu yeyote.
# mmo mioyoni mwetu
Paulo anazungumza kwa ajili yake na pendo kuu la washirika wake kwa ajili ya wakorintho kama vile wamefanyika ndani ya kioyo yao.
# kwetu sisi kufa pamoja na kuishi pamoja
Hii ina maanisha kwamba Paulo na washirika wake wataendelea kuwapenda Wakorintho bila kujali kinachotokea.
# kwetu sisi kufa
"sisi" inajumuisha waamini wa Korintho"
# Nimejawa na faraja
Yaweza kuelezwa katika jinsi ya utendaji: : "Mnanijaza faraja"
# Ninajawa na furaha
Pulo anazumzia furaha kama vile kimiminika ambacho humjaza yeye mpaka anajawa.
# hata katikati ya mateso yetu yote.
"licha ya taabu zetu"