# Sentensi Unganishi Akiwa tayri amewaonya watu wa Korintho kuhusu viongozi wengine ambao walikuwa wakijitahidi kuwavuta Wakorintho wawafuate wao, lakini Paulo anawakumbusha watu jinsi anavyowafikiria. # Fanyeni nafasi kwa ajili yetu Inarejea kile ambacho Paulo alikisema awalikatika 6:11 kuhusu wao kufungua mioyo yao kwa yeye. # Siyo kuwahukumu ninyi kuwa nasema hili "sisema hili kuwashitaki ninyi kwa kufanya vibaya." Neno "hili" linarejea kwa kila ambacho Paulo alikuwa amesema kuhusu ambavyo hakumkosea mtu yeyote. # mmo mioyoni mwetu Paulo anazungumza kwa ajili yake na pendo kuu la washirika wake kwa ajili ya wakorintho kama vile wamefanyika ndani ya kioyo yao. # kwetu sisi kufa pamoja na kuishi pamoja Hii ina maanisha kwamba Paulo na washirika wake wataendelea kuwapenda Wakorintho bila kujali kinachotokea. # kwetu sisi kufa "sisi" inajumuisha waamini wa Korintho" # Nimejawa na faraja Yaweza kuelezwa katika jinsi ya utendaji: : "Mnanijaza faraja" # Ninajawa na furaha Pulo anazumzia furaha kama vile kimiminika ambacho humjaza yeye mpaka anajawa. # hata katikati ya mateso yetu yote. "licha ya taabu zetu"