sw_tn/2co/05/04.md

1.2 KiB

tuko ndani ya hema hii

Paulo anazungumzia mwili unaoonekana kama vile ulikuwa "hema."

ndani ya hema hii, twaugua tukilemewa

Neno " hema" linamaanisha makao ya duniani ambayo tunaishi ndani yake." Neno " ugua" ni sauti anayoitoa mtu wakati wanapohitaji kutamani kuwa na kitu ambacho ni kizuri.

tukilemewa

Paulo anarejea kwenye changamoto ambazo mwili hupitia kama vile zilikuwa vitu ambavyo ni vizito kuvibeba.

Hatutaki kuvuliwa badala yake, tunataka kuvalishwa

Paulo anazungumzia mwili kama vile ulikuwa umevikwa.Hapa "kuvuliwa" lina maanisha kifo ccha mwili; " kuvalishwa" lina maanisha kuwa na ufufuo wa mwili ambao Mungu atautoa.

kuvuliwa

"kutokuwa na nguo" au "kuwa uchi"

ili kwamba kile kilicho kufa kiweze kumezwa na uzima

Paulo anazungumzia maisha kama vile yalikuwa mnyama ambaye hula " ambaye hufa." Mwiliunaoonekana ambaomutakufa utahuishwa kwa njia ya ufufuo wa mwili ambao utaishi milele.

ili kwamba kile kilicho kufa kiweze kumezwa na uzima

Hii inaweza kusemwa kwa jinsi hii: "ili kwamba uhai utaki meza kile ambacho ni cha kufa"

ambaye alitupa sisi Roho kama ahadi ya kile kitakacho kuja.

Roho anayezungumzwa alikuwa kama malipo ya chini ya muda kuhusu uzima wa milele.