# tuko ndani ya hema hii Paulo anazungumzia mwili unaoonekana kama vile ulikuwa "hema." # ndani ya hema hii, twaugua tukilemewa Neno " hema" linamaanisha makao ya duniani ambayo tunaishi ndani yake." Neno " ugua" ni sauti anayoitoa mtu wakati wanapohitaji kutamani kuwa na kitu ambacho ni kizuri. # tukilemewa Paulo anarejea kwenye changamoto ambazo mwili hupitia kama vile zilikuwa vitu ambavyo ni vizito kuvibeba. # Hatutaki kuvuliwa badala yake, tunataka kuvalishwa Paulo anazungumzia mwili kama vile ulikuwa umevikwa.Hapa "kuvuliwa" lina maanisha kifo ccha mwili; " kuvalishwa" lina maanisha kuwa na ufufuo wa mwili ambao Mungu atautoa. # kuvuliwa "kutokuwa na nguo" au "kuwa uchi" # ili kwamba kile kilicho kufa kiweze kumezwa na uzima Paulo anazungumzia maisha kama vile yalikuwa mnyama ambaye hula " ambaye hufa." Mwiliunaoonekana ambaomutakufa utahuishwa kwa njia ya ufufuo wa mwili ambao utaishi milele. # ili kwamba kile kilicho kufa kiweze kumezwa na uzima Hii inaweza kusemwa kwa jinsi hii: "ili kwamba uhai utaki meza kile ambacho ni cha kufa" # ambaye alitupa sisi Roho kama ahadi ya kile kitakacho kuja. Roho anayezungumzwa alikuwa kama malipo ya chini ya muda kuhusu uzima wa milele.