sw_tn/2co/05/04.md

32 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# tuko ndani ya hema hii
Paulo anazungumzia mwili unaoonekana kama vile ulikuwa "hema."
# ndani ya hema hii, twaugua tukilemewa
Neno " hema" linamaanisha makao ya duniani ambayo tunaishi ndani yake." Neno " ugua" ni sauti anayoitoa mtu wakati wanapohitaji kutamani kuwa na kitu ambacho ni kizuri.
# tukilemewa
Paulo anarejea kwenye changamoto ambazo mwili hupitia kama vile zilikuwa vitu ambavyo ni vizito kuvibeba.
# Hatutaki kuvuliwa badala yake, tunataka kuvalishwa
Paulo anazungumzia mwili kama vile ulikuwa umevikwa.Hapa "kuvuliwa" lina maanisha kifo ccha mwili; " kuvalishwa" lina maanisha kuwa na ufufuo wa mwili ambao Mungu atautoa.
# kuvuliwa
"kutokuwa na nguo" au "kuwa uchi"
# ili kwamba kile kilicho kufa kiweze kumezwa na uzima
Paulo anazungumzia maisha kama vile yalikuwa mnyama ambaye hula " ambaye hufa." Mwiliunaoonekana ambaomutakufa utahuishwa kwa njia ya ufufuo wa mwili ambao utaishi milele.
# ili kwamba kile kilicho kufa kiweze kumezwa na uzima
Hii inaweza kusemwa kwa jinsi hii: "ili kwamba uhai utaki meza kile ambacho ni cha kufa"
# ambaye alitupa sisi Roho kama ahadi ya kile kitakacho kuja.
Roho anayezungumzwa alikuwa kama malipo ya chini ya muda kuhusu uzima wa milele.