sw_tn/2ch/32/18.md

8 lines
308 B
Markdown

# Ili kuwaogopesha na kuwasumbua.
Virai hivi viwili vina maana ya kitu kimoja na vinasisitiza swala la hofu ("kuwafanya waogope sana.")
# Wakamnenea Mungu wa Yerusalemu kama walivyowanenea miungu wa Dunia.
"Wakamdhihaki Mungu wa Yerusalemu kama walivyokuwa wamewadhihaki miungu wa watu wengine wa Dunia."