sw_tn/2ch/32/18.md

308 B

Ili kuwaogopesha na kuwasumbua.

Virai hivi viwili vina maana ya kitu kimoja na vinasisitiza swala la hofu ("kuwafanya waogope sana.")

Wakamnenea Mungu wa Yerusalemu kama walivyowanenea miungu wa Dunia.

"Wakamdhihaki Mungu wa Yerusalemu kama walivyokuwa wamewadhihaki miungu wa watu wengine wa Dunia."