# Ili kuwaogopesha na kuwasumbua. Virai hivi viwili vina maana ya kitu kimoja na vinasisitiza swala la hofu ("kuwafanya waogope sana.") # Wakamnenea Mungu wa Yerusalemu kama walivyowanenea miungu wa Dunia. "Wakamdhihaki Mungu wa Yerusalemu kama walivyokuwa wamewadhihaki miungu wa watu wengine wa Dunia."