# Wakasimama katika makundi yao.
Walisimama katika dhamu zao au sehemu zao walizopangiwa.
# Wakawachinja wanakondoo wa Pasaka
Kwa kufuata desturi na taratibu waliwachinja wanakondoo wa Pasaka.