# Wakasimama katika makundi yao. Walisimama katika dhamu zao au sehemu zao walizopangiwa. # Wakawachinja wanakondoo wa Pasaka Kwa kufuata desturi na taratibu waliwachinja wanakondoo wa Pasaka.