sw_tn/2ch/30/16.md

196 B

Wakasimama katika makundi yao.

Walisimama katika dhamu zao au sehemu zao walizopangiwa.

Wakawachinja wanakondoo wa Pasaka

Kwa kufuata desturi na taratibu waliwachinja wanakondoo wa Pasaka.