sw_tn/2ch/21/01.md

606 B

Akalala pamoja na babu zake.

"Hii inamaanisha kwamba akafa" (Yehoshafati).

Mji wa Daudi.

Huu ni mji wa Daudi.

Azaria, Yerieli, Zekaria, Azaria, Mikaeli, na Shefatia.

Haya ni majina ya kiume; ni orodha ya majina ya watoto wa Yehoshafati mfalme wa Israeli.

Yehofati, mfalme wa Israeli.

Ufalme wa Kusini ulikuwa uknaitwa "Yuda", Llakini mwandishi wa kitabu hiki alitaka kuweka msistizo kwamba ufalme wa kusini ulikuwa katika hali ya kumtii Mungu, Israeli ya kweli.

Kiti cha enzi alimpa Yehoramu.

Yehoshafati aliamua kuwa Yohoramu awe mfalme baada yake (yaani akirithi kiti chake cha enzi).