sw_tn/2ch/21/01.md

20 lines
606 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Akalala pamoja na babu zake.
"Hii inamaanisha kwamba akafa" (Yehoshafati).
# Mji wa Daudi.
Huu ni mji wa Daudi.
# Azaria, Yerieli, Zekaria, Azaria, Mikaeli, na Shefatia.
Haya ni majina ya kiume; ni orodha ya majina ya watoto wa Yehoshafati mfalme wa Israeli.
# Yehofati, mfalme wa Israeli.
Ufalme wa Kusini ulikuwa uknaitwa "Yuda", Llakini mwandishi wa kitabu hiki alitaka kuweka msistizo kwamba ufalme wa kusini ulikuwa katika hali ya kumtii Mungu, Israeli ya kweli.
# Kiti cha enzi alimpa Yehoramu.
Yehoshafati aliamua kuwa Yohoramu awe mfalme baada yake (yaani akirithi kiti chake cha enzi).