# Akalala pamoja na babu zake. "Hii inamaanisha kwamba akafa" (Yehoshafati). # Mji wa Daudi. Huu ni mji wa Daudi. # Azaria, Yerieli, Zekaria, Azaria, Mikaeli, na Shefatia. Haya ni majina ya kiume; ni orodha ya majina ya watoto wa Yehoshafati mfalme wa Israeli. # Yehofati, mfalme wa Israeli. Ufalme wa Kusini ulikuwa uknaitwa "Yuda", Llakini mwandishi wa kitabu hiki alitaka kuweka msistizo kwamba ufalme wa kusini ulikuwa katika hali ya kumtii Mungu, Israeli ya kweli. # Kiti cha enzi alimpa Yehoramu. Yehoshafati aliamua kuwa Yohoramu awe mfalme baada yake (yaani akirithi kiti chake cha enzi).