sw_tn/2ch/18/23.md

12 lines
333 B
Markdown

# Zedekia mwana wa Kanaani
Huyu siyo Zedikia aliyetajwa ahapo juu, bali ni nabii mwaminifu kwa Ahabu.
# Kwa anjia gani Roho wa Yahwe alitoka kwangu ili aseme nawe?
"Roho wa Mungu hakutoka kwangu ili aje kusema nawe."
# Mtakapokimbia katika baadhi ya vyumba vya ndani kwa ajili ya kujificha.
"Mtakapokimbia, kwa hofu kujificha."