sw_tn/2ch/18/23.md

333 B

Zedekia mwana wa Kanaani

Huyu siyo Zedikia aliyetajwa ahapo juu, bali ni nabii mwaminifu kwa Ahabu.

Kwa anjia gani Roho wa Yahwe alitoka kwangu ili aseme nawe?

"Roho wa Mungu hakutoka kwangu ili aje kusema nawe."

Mtakapokimbia katika baadhi ya vyumba vya ndani kwa ajili ya kujificha.

"Mtakapokimbia, kwa hofu kujificha."