# Zedekia mwana wa Kanaani Huyu siyo Zedikia aliyetajwa ahapo juu, bali ni nabii mwaminifu kwa Ahabu. # Kwa anjia gani Roho wa Yahwe alitoka kwangu ili aseme nawe? "Roho wa Mungu hakutoka kwangu ili aje kusema nawe." # Mtakapokimbia katika baadhi ya vyumba vya ndani kwa ajili ya kujificha. "Mtakapokimbia, kwa hofu kujificha."