sw_tn/2ch/14/01.md

16 lines
321 B
Markdown

# Abiya akalala pamoja na babu zake
"Hii ina maana kwamba Abiya akafa na kuzikwa pamoja na babu zake.
# Katika siku zake.
Katika kipindi cha utawala wake.
# Katika siku yake nchi ilikuwa tulivu kwa miaka kumi.
"Palikuwa na amani katika nchi kwa miaka kumi"
# Katika macho ya Yahwe Mungu wake
"Kama Yahwe atakavyo"