# Abiya akalala pamoja na babu zake "Hii ina maana kwamba Abiya akafa na kuzikwa pamoja na babu zake. # Katika siku zake. Katika kipindi cha utawala wake. # Katika siku yake nchi ilikuwa tulivu kwa miaka kumi. "Palikuwa na amani katika nchi kwa miaka kumi" # Katika macho ya Yahwe Mungu wake "Kama Yahwe atakavyo"