sw_tn/2ch/14/01.md

321 B

Abiya akalala pamoja na babu zake

"Hii ina maana kwamba Abiya akafa na kuzikwa pamoja na babu zake.

Katika siku zake.

Katika kipindi cha utawala wake.

Katika siku yake nchi ilikuwa tulivu kwa miaka kumi.

"Palikuwa na amani katika nchi kwa miaka kumi"

Katika macho ya Yahwe Mungu wake

"Kama Yahwe atakavyo"