sw_tn/1ti/04/11.md

16 lines
462 B
Markdown

# Uyaseme na kuyafundisha mambo haya
"Agiza na fundisha mambo haya" au "Agiza na ufundishe mambo haya ambayo nimeyataja hivi punde"
# Mtu yeyote asiudharau ujana wako
"mtu asikuchukulie kwamba wewe si wa muhimu kwa sababu u kijana"
# endelea kuyasoma
"soma Maandiko" au "endelea kulisoma Neno la Mungu kwa sauti na kwa uwazi mbele za watu"
# endelea...kuyahimiza
"wahimize wengine" au "watie moyo wengine kulifanyia kazi Neno la Mungu katika maisha yao"