# Uyaseme na kuyafundisha mambo haya "Agiza na fundisha mambo haya" au "Agiza na ufundishe mambo haya ambayo nimeyataja hivi punde" # Mtu yeyote asiudharau ujana wako "mtu asikuchukulie kwamba wewe si wa muhimu kwa sababu u kijana" # endelea kuyasoma "soma Maandiko" au "endelea kulisoma Neno la Mungu kwa sauti na kwa uwazi mbele za watu" # endelea...kuyahimiza "wahimize wengine" au "watie moyo wengine kulifanyia kazi Neno la Mungu katika maisha yao"