sw_tn/1sa/25/14.md

12 lines
405 B
Markdown

# kijana mmojawapo alimwambia Abigaili, mke wa Nabali akasema
"Mmoja wa watumishi wa Nabali aligundua kitu ambacho Daudi na watu wake walipanga kufanya, hivyo akaenda kwa mke wa NAbali Abigaili"
# Hatukudhurika
"hakuna mtu aliyetudhuru" au "tulikuwa salama"
# na hatukupoteza chochote wakati wote tulipotembea nao
Watu wa Daudi waliwazuia wanyama wa mwituni na watu wengine wasiibe mifugo ya Nabali.