sw_tn/1sa/25/14.md

405 B

kijana mmojawapo alimwambia Abigaili, mke wa Nabali akasema

"Mmoja wa watumishi wa Nabali aligundua kitu ambacho Daudi na watu wake walipanga kufanya, hivyo akaenda kwa mke wa NAbali Abigaili"

Hatukudhurika

"hakuna mtu aliyetudhuru" au "tulikuwa salama"

na hatukupoteza chochote wakati wote tulipotembea nao

Watu wa Daudi waliwazuia wanyama wa mwituni na watu wengine wasiibe mifugo ya Nabali.