# kijana mmojawapo alimwambia Abigaili, mke wa Nabali akasema "Mmoja wa watumishi wa Nabali aligundua kitu ambacho Daudi na watu wake walipanga kufanya, hivyo akaenda kwa mke wa NAbali Abigaili" # Hatukudhurika "hakuna mtu aliyetudhuru" au "tulikuwa salama" # na hatukupoteza chochote wakati wote tulipotembea nao Watu wa Daudi waliwazuia wanyama wa mwituni na watu wengine wasiibe mifugo ya Nabali.