sw_tn/1sa/03/10.md

16 lines
519 B
Markdown

# Bwana alikuja na kusimama
Hii inaweza kuwa na maana ya 1) Bwana alimtokea Samweli na kusimama mbele yake au 2) Bwana alifanya uwepo wake uonekane kwa Samweli.
# Mtumishi wako ana
Samweli anazungumza na Bwana na kuonesha heshima.
# ambalo masikio ya kila mmoja yakisikia yatashtuka
Hapa "masikio ... yatashtuka" inamaanisha kuwa kila mtu atashituka kutokana na kitu atakachokisikia.
# Kushtuka
Kuhisi kama vile mtu anakuchoma na kitu chenye ncha au kushtuka kwa sababu mtu amepiga kibao sehemu fulani ya mwili.