sw_tn/1sa/03/10.md

519 B

Bwana alikuja na kusimama

Hii inaweza kuwa na maana ya 1) Bwana alimtokea Samweli na kusimama mbele yake au 2) Bwana alifanya uwepo wake uonekane kwa Samweli.

Mtumishi wako ana

Samweli anazungumza na Bwana na kuonesha heshima.

ambalo masikio ya kila mmoja yakisikia yatashtuka

Hapa "masikio ... yatashtuka" inamaanisha kuwa kila mtu atashituka kutokana na kitu atakachokisikia.

Kushtuka

Kuhisi kama vile mtu anakuchoma na kitu chenye ncha au kushtuka kwa sababu mtu amepiga kibao sehemu fulani ya mwili.