sw_tn/1ki/13/33.md

12 lines
388 B
Markdown

# Jambo hiloi likawa dhambi kwenye familia ya Yeroboamu
"Familia ya Yeroboamu ikawa imefanya dhambi kwa kufanya jambo hili"
# Jambo hili
Hii inamaanisha kitendo cha Yeroboamu kujenga madhabahu ya miungu na kuchagua makuhani.
# na kusababishsa familia yake kuangamizwa na kuondolewa kabisa katika uso wa dunia
"Munugu aliiangamiza na kuiondoa familia ya Yeroboamu katika usowa dunia"